Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

Showing posts with label news. Show all posts
Showing posts with label news. Show all posts

Mpya Ya Kwetu | Paro - Nahna

Muimbaji wa kike toka Kenya kwa jina ya Elizabeth Nahna amaezindua video mpya wa nyimbo yake "Paro"
Muimbaji huyo maarufu kama Nahna amekuwa wa kwanza jijini Kisumu kufanya uziduzi wanyimbo yake ndani ya hoteli ya kifahari ya Imperial ilioko jijini Kisumu,Kenya
Pata kuipakua wimbo huo hapa

TAZAMA ZA KILICHOJIRI BILLS WAKATI WEMA SEPETU AKIWATAMBULISHA WASANNII WAKE MIRROR NA ASALI

TAZAMA ZA KILICHOJIRI BILLS WAKATI WEMA SEPETU AKIWATAMBULISHA WASANNII WAKE MIRROR NA ASALI

mirror
Wasanii wanaokuja kwa kasi katika muziki wa Bongo flava hapa Tzee Mirrow pamoja na Asali jana waliweza kukonga nyoyo za mashabiki wao walipopanda Jukwaani.
Mirrow na Asali ni wasanii wanatoka katika kampuni ya Endless Fame ambayo ipo chini ya Mwanadada mahiri Wema Sepetu.
Katika uzinduzi huo wasanii wa Endeless Fame walitambulisha nyimbo zao mpya ambazo ziliwagusa mashabiki waliofika katika Club ya Bilicanas, pamoja na uzinduzi huo CEO wa Endless Fame Wema Sepetu alipanda Jukwaani kwa ajili ya kunena na mashabiki wake, ili waweze kuwapokea wasanii wanaotoka katika kampuni yake.
Uzinduzi wa nyimbo mpya za Mirrow na Asali ulisindikizwa na wasanii mbalimbali kama vile, Mwana FA, H.Baba, Country Boy, Barnaba, Mao, TID, Nyandu Tozi, Hassani Mapenzi.
wema2wema3Asalibarnabadogo-janjah-babamirrorwema