Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

Sakata la Mama kujifungua na kugoma kutoka Hospitali limemfikia Mganga Mkuu

Views:
Video Information


Baada ya July 10, 2017 kuruka Hekaheka iliyotokea Hospitali ya Amana ikimhusisha mama aliyegoma kutoka wodini baada ya kujifungua mtoto Njiti ambaye alipelekwa Muhimbili lakini alipoenda huko aliambiwa mtoto hayupo na aliporudi Amana aliambiwa mtoto alifariki siku aliyojifungua.

Leo July 11, 2017 issue hiyo imeendelea katika sura nyingine baada ya Mtangazaji Geah Habib kuzungumza na Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt. Grace ambaye alidai kwa kwa taarifa aliyopewa ni mtoto yupo Muhimbili ingawa mama anadai hana uhakika kama mtoto ni wake au la jambo ambalo limesababisha kuanzishwa uchunguzi na kufanya vipimo vya vinasaba (DNA).
Similar Videos