Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

MSANII G FAX ASEMA SOON ATAACHIA MZIGO MPYA.

Views:
Video Information
Hitmaker wa ngoma ya kuwa huru aliyo mshirikisha joasiana wa wency na job fire wa melody KUWA HURU amesema soon ataachia ngoma mpya.

Akiongea na blog hii mapema leo amesema amekaa kimya ili kuwezesha nyimbo yake ya KUWA HURU kupat airtime ya kutosha kwani ni nyimbo kali na bado haijaisha ladha na haiwezi kuchuja kwa uharaka.

                                                                   G FAX.
Amesema kwa mwaka huu amejipanga kuachia video mbili mashabiki wake wakae mkao wakula vitu vizuri vinakuja na mabadiliko makubwa katika mziki wake na mziki wa kilimanjaro kwa ujumla.
Similar Videos