Mtangazaji maarufu wa vipindi vya burudani hususani FLEVA NO LIMIT ya kibo fm Bwana DEOGRATIUS KESSY leo amefunguka juu ya wasanii wachanga wanaotoa nyimbo zisizo na mvuto au ubora kisha kuwahonga watangazaji wa vipindi vya burudani ili wazipige radioni, amesema kuwa kufanya hivyo ni kukiuka maadaili ya utangazaji lakini pia ni kuua vipaji vya wasanii wachanga .
|