UncategoriesKiungo Wa Yanga SC, Athumani Iddi ‘Chuji’ Atua Azam FC
Kiungo Wa Yanga SC, Athumani Iddi ‘Chuji’ Atua Azam FC
Views:
Video Information
Mabingwa wa Tanzania Bara,Timu ya Azam imeendelea kuimarisha
kikosi chake kwa kumsajili aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi ‘Chuji’ Taarifa Hii imekua kama ya ghafla kiungo wa Yanga Athumani
Iddi ‘Chuji’ kusemekana kijiunga na timu ya Azam Fc na asubuhi ya leo
ameonekana akiwa mazoezini kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Dar es
Salaam.