Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KUSIMAMIA MRADI WA KUPASHANA HABARI.

Views:
Video Information

Mwakilishi wa Tanzana katika
mkutano huo Ndg. Phares Magesa
ambaye ni Mkurugenzi wa ICT- TPA
akiwa mkutanoni katika ukumbi wa
Umoja wa Ulaya, Brussels.
Tanzania yashiriki mkutano wa 3 wa
kamati ya kusimamia mradi wa
kupashana habari ili kupambana na
uhalifu baharini, 3rd Maritime
Security & Safety Information
Sharing for Capacity building
(MARSIC ) unaofanyika kwa
kuratibiwa na Umoja wa Ulaya ,
Brussels, Ubelgji 3-4 Machi, 2014.
Tanzania ni moja ya nchi zenye vituo
hivyo vya kupashana habari
(Informations Sharing Centres)
kilichopo katika Mnara wa kupngoza
Meli cha Feri (Control Tower)
kinaendeshwa na TPA kwa
kushirikiana na Sumatra na idara
nyingine za ulinzi na Usalama za
Serikali kiutekelezaji.

Similar Videos