Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

TAIFA STARS JUVAA JEZ ZA ADDIDAS.

Views:
Video Information

Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF) lilifikia makubaliano
na kampuni ya Adidas kupitia
msaada wa Shirikisho la Mpira wa
Miguu Afrika (CAF) kupatiwa vifaa
vya michezo.
Kufuatia makubaliano hayo TFF
tulipatiwa vifaa kadhaa vya adiads
kwa ajili ya timu ya Taifa ya
wakubwa (Taifa Stars). Vifaa hivyo
zikiwemo jezi tulianza kuvitumia
kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya
Namibia iliyochezwa Machi 5 mwaka
huu jijini Windhoek.
Vifaa hivyo zikiwemo jezi vitaendelea
kutumiwa na Taifa Stars hadi hapo
utaratibu mpya wa jezi za timu ya
Taifa utakapokamilika.
TFF tunaishukuru kampuni ya Adidas
ambao ni washirika wa CAF na
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa
Miguu (FIFA) kwa miaka mingi kwa
mchango wao huu wa kuendeleza
mpira wa miguu nchini.

Similar Videos