Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

Video Information

Rais wa mpito wa Jamhuri ya Afrika
ya Kati, Catherine Samba Panza
AFP Na Sabina Chrispine
Nabigambo
Rais wa mpito wa Jamhuri ya Afrika
ya Kati Catherine Samba Panza
ameshutumu mauaji yanayofanywa
dhidi ya wanawake waislamu nchi
nzima kutokana na vita ya kidini,
Akihutubia katika sherehe za
maadhimisho ya Siku ya Wanawake
duniani jana Jumamosi,rais huyo
amesema kuwa inatia uchungu
mkubwa kuona kuwa baadhi ya
wanawake hawapo pamoja nao
katika maadhimisho hayo ya siku
ya wanawake kutokana na
kushambuliwa na kuuawa na
wengine wanahofia usalama wao.
Hotuba yake hiyo mbele ya Bunge
la kitaifa ,ilizungumzia kwa kina
Jukumu la wanawake katika
kutafuta amani ya Afrika ya Kati na
kuongeza kuwa hawataendelea
kuhamasisha kutokuvumiliana na
chuki miongoni mwa ndugu zao
waislamu na wakristo ambao
wamekuwa wakiishi pamoja kwa
amani.
Usalama katika mji mkuu wa
Bangui unazorota hatua kwa hatua
na kwa kiasi alisema Panza, na
kulaumu fitna zinazopenyezwa kwa
vijana wa nchi hiyo.

Similar Videos