Video Information
Rais wa Shirikisho la Filamu
Tanzania (TAFF), Simon
Mwakifwamba, akizungumza
katika mkutano na waandishi
wa habari pamoja na wasanii
Februari 28,2014 katika ukumbi
vijana kinondoni jijini Dar es
Salaam, kuhusu viongozi
mbalimbali wa Sanaa hapa
nchini kwenda mkoani Dodoma
Bungeni kupeleka ujumbe wa
matakwa ya wasanii kuingizwa
katiba Katiba mpya. Kutoka
kulia ni Rais wa Shirikisho la
Muziki wa Injili, Addo
November, Kaimu Katibu
Mtendaji wa Baraza la Sanaa
Tanzania (Basata), Godfrey
Mngereza na Mwenyekiti wa
Mtandao wa Wanamuziki
Tanzania (Tamunet), John
Kitime.