Video Information
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Ruthanne Chipeta mara baada ya kuwasili jijini London jana kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Serikali ya Uingereza baada ya kuwasili mjini hapo.
Mama Salma Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Tobiko Kallaghe mara baada ya kuwasili jijini London jana kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Serikali ya Uingereza
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipokewa mara baada ya kuwasili jijini London jana kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Serikali ya Uingereza