Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

JESHI LA URUSI KURUHUSIWA KWENDA CRIMEA.

Views:
Video Information

Bunge la Urusi limeidhinisha ombi
la Rais Putin kuwa wanajeshi wa
Urusi watumike Ukraine.
Wizara ya mashauri ya nchi za nje ya
Urusi imesema hiyo haimaanishi
kuwa wataanza kutumika moja kwa
moja, ingawa wakuu wa Ukraine
wanasema Urusi imeshatuma
wanajeshi 6,000 zaidi huko Crimea.
Kikosi cha wanamaji wa Urusi katika
Black Seakimesema kuwa wanajeshi
wake wanapiga doria pamoja na
wenyeji wa Crimea wanaounga
mkono Urusi, ili kulinda vituo vyake.
Mwandishi wa BBC alioko Sevastopol
anasema wanajeshi wanaonekana
zaidi.
Meli za Ukraine za kulinda pwani
zimeondoka kuepuka kuchukuliwa na
Urusi na mwandishi wa BBC
anasema kuna hisia kuwa ras wa
Crimea inazidi kuwaponyoka wakuu
mjini Kiev.

Similar Videos