ma ana uhusiano na Diamond Platnumz.
Bamboo ameuambia mtandao wa rapnairobi kuwa
Diamond si aina ya wanaume wa Victoria. “I doubt
that, Diamond is not her type, there was still one
with Wanyama. If she’s dating a guy anaeza
akidecide. She’s a grown woman. She has worked
hard, people don’t know that she also featured on
Nairobiz album, that’s like K-south second album so
ametoka far,” alisema.
Hivi karibuni Diamond aliiambia Bongo5 kuwa
Victoria ni rafiki yake tu. “Victoria mwanangu tu,
rafiki yangu, anaappreciate kazi zangu na siku moja
aje kufanya kazi na mimi. Ni kazi tu na sio
kwasababu mimi na mwanaume na yeye ni
mwanamke, na ukimwangalia ni mwanamke mzuri so
wanajua tu naweza kumdate lakini sio kila siku simba
anakuwa na njaa sometimes hata yeye anafunga pia.”
BAMBOO;DIAMOND PLUTNUMZ SIYO 'TYPE' YA VICTORIA KIMANI
Views:
Video Information