Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

LIVERPOOL YAPAMBANA KUmNASA MOHAMED SALAH WA FC BASLE

Views:
Video Information

10 e015e
KLABU ya Liverpool itapiga hatua katika kuwania saini ya Mohamed Salah hara iwezekanavyo. (HM)

Kocha Brendan Rodgers alikuwa ana kikao na mmiliki wa Liverpool, John W Henry na Mwenyekiti, Tom Werner Ijumaa kujadili usajili wa dirisha hili dogo na ameambiwa aongeze juhudi kuhakikisha anamsalili mchezaji wa kimataifa wa Misri, anayechezea FC Basle, Salah.

Wanakabiliwa na ushindani kutoka klabu za Hispania na Ujerumani, lakini Rodgers anafahamu kwamba kiungo huyo yuko tayari kujiunga na Liverpool kama watafika dau la uhamisho wake.
Similar Videos