Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

‘Siruhusiwi Kutumia Simu Aina ya iPhone’ – Rais Obama

Views:
Video Information

Rais wa Marekani Barack Obama mnamo siku ya Jumatano alikiri kuwa alikatazwa kutotumia simu aina ya iPhone kwa sababu za kiusalama, hii ilikuja kipindi ambacho alikuwa akifafanua ni kwa nini wakati mwengine huonekana akitumia simu kubwa aina ya Blackberry.


“Siruhusiwi kwa sababu za kiusalama kuwa na iPhone,” Obama alilieleza kundi la vijana ndani ya White House kwenye tukio la kuhamasisha sheria ya kujali afya.www.sayariblog.blogspot.com
Similar Videos