Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO) LAINGIA UBIA NA KAMPUNI YA MADINI YA TANZANIAONE

Views:
Video Information
badilishana_38dec.jpg
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwe wakibadilishana hati za mkataba wa ubia kuhusu uchimbaji wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani. Sherehe hizo zilifanyika jana mjini Dar es salaam.
saini_04d37.jpg
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwe wakisaini hati za mkataba wa ubia kuhusu uchimbaji wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani. Sherehe hizo zilifanyika jana mjini Dar es salaam.
TANZANIAONE_d1861.jpg
Mwenyekiti wa Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia )Balozi Ami Mpungwe akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana (leo) mjini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kusaini hati za mkataba wa ubia kuhusu uchimbaji wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na TanzaniaOne . Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa.
KM_Madini_b821d.jpg
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana (leo) mjini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kusaini hati za mkataba wa ubia kuhusu uchimbaji wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na TanzaniaOne . wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (katikati) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwe.www.sayariblog.blogspot.com
Similar Videos