Video Information
Ni saa 8 za usiku baada ya kutoka kwa Chali
kufanya project ya Cocacola
ilinibidi niende kwa producer Tudd thomas
akishirikiana na Sheddy mwenye Clever zake..
kubwa likiwa ni kuingiza vocal zangu ndani ya
remix ya number one
niliyofanya na mnyama wa Naija,Davido ambaye
yeye alifanya yake.
na ili kuweka njonjo za hapa na
pale kuhakikisha wimbo
unakuwa na hadhi inayokidhi mahitaj ya fanswangu
ilibidi nimwite na mzee wangu King Maru,mkari wa kupuliza
saxaphone ili nae atie mambo yake
kumbuka mzee Maru alipiga saxaphon yake kwenye number one ya kwanza...
Nikitoka studio kwa Chali |
Hakuna project inaniumiza kichwa kama hii,nikiwaza niweke nini,nipunguze nini.........!!! |
Tudd kwa nini hii line,isipande kwa hapa mwanzo..?? |
Mzee Maru akifanya vitu vyake |
Kama pumzi hazikuenei..hii kitu huiwezi......!!! |
Tudd |
Sheddy mwenye clever zake |
Ushirikiano ndio nguzo ya chochote kizuri..!!! |