Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

JE RAIS WA ZIMBABWE ROBERT MUGABE ATAWEZA KUONDOA VIKWAZO NCHINI HUMO???

Views:
Video Information


Mugabe katika mkutano wa SADC nchini Malawi
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amezionya Marekani na Uingereza ziondoshe vikwazo dhidi ya nchi yake, ama sivyo Zimbabwe italipiza kisasi.
Alisema hatua zao ni sawa na kusimbuliwa, na alisema wakati utafika kwa Zimbabwe kuchukua hatua za kujibu.
Bwana Mugabe alisema hayo katika mazishi ya afisa wa jeshi la wanahewa.
Na juma lilopita viongozi wa SADC walipokutana Malawi walisema vikwazo vyote dhidi ya Zimbabwe sasa vinafaa kuondolewa baada ya ule waliosema, uchaguzi uliokuwa huru na wa amani.
Similar Videos