UncategoriesSTORI YA JADEN WA WILL SMITH KUWA MAPENZINI NA HUYU MREMBO IKO HAPA.
STORI YA JADEN WA WILL SMITH KUWA MAPENZINI NA HUYU MREMBO IKO HAPA.
Views:
Video Information
Ni moja ya stori kwenye
headlines sasa hivi kwamba mtoto wa movie Star Will Smith, Jaden Smith
(14) na mdogo wa Tv Star Kim Kardashian, Kylie Jenner (15) wako kwenye
uhusiano wa kimapenzi japo wenyewe hawajathibitisha hilo.
US Weekly wameripoti kwamba ni
uhusiano mpya ambao umeanza baada ya wawili hawa kuwa marafiki kwa muda
ambapo wamekua wakionekana pamoja sehemu mbalimbali, ya hivi karibuni
ikiwa ni Caffe Nero London Uingereza Jaden akiwa amehudhuria party ya
mshkaji Justine Bieber kutimiza umri wa miaka 19.