Video Information
Zao jipya katika muziki wa Bongo fleva Menina ambaye nyota yake imeng'aa kupitia shindano la kusaka vipaji la BSS ameweza kudhihirisha yakuwa yeye ni mkali pia anakipaji cha kutosha baada ya kutoa wimbo wake mpya. Wimbo huo unao kwenda kwa jina la DREAM TONIGHT.