Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

MABIBI NA MABWANA MSANII ANAYEFANYA POWA TANZANIA NA NJE YA TANZANIA DIAMOND PLATNUMZ AKUTANA NA KANYE WEST.

Views:
Video Information





Yoyote ambae anaufuatilia muziki wa Kanye West akikutana nae hawezi kuacha kupiga nae picha. Diamond alisafiri kuelekea Marekani Las Vegas kwa ajili ya kufanya show, ambapo kwenye maelezo ya hii picha, ilionekana wakati huo alikuwa Los Angeles.



Kwa ninavyo fahamu Diamond anakuwa mtanzania mwingine, aliyepiga picha na Kanye West, ambapo Vanessa Mdee amewahi kukutana na Kanye West na kuongea nae.


Hapa ni Vanessa Mdee kulia alipokutana na Kanye West.
Similar Videos