Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

RIHANNA NA CHRIS BROWN MTAANI WA KILA BATA.

Views:
Video Information
Pamoja na kwamba Rihanna na Chris Brown bado wanakiri kwamba ni marafiki wa karibu, urafiki wao ambao unawafanya waonekane pamoja sehemu nyingi wanazokwenda umefanya wengi waamini kwamba hawa jamaa wamerudi kwenye mapenzi, hii ni moja ya picha zao za hivi karibuni wakiwa pamoja wakikata baadhi ya mitaa wawili hao.
Similar Videos