Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

Hewa ya Beijing ni mbaya sana

Views:
Video Information
Kuchafuka kwa hali ya hewa katika mji mkuu wa uchina, Beijing, kumefikia kiwango kibaya kabisa kuwahi kutokea kwa miaka kadha.
Beijing
Vipimo rasmi vya uharibifu wa hewa vimepindukia kiwango ambapo watoto wote pamoja na wazee huambiwa wasitoke nje.
Mwandishi wa BBC mjini Beijing anasema kwa siku kadha sasa kumekuwa na ukungu mzito, na hewa ina ladha ya moshi wa makaa na magari.
Hata ndani ya nyumba kumetanda.
Moshi kama huo huleta shida za kupumua na kuzidisha idadi ya watu wanaokufa kwa sababu ya saratani ya mapafu na ugon
Similar Videos