Video Information
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli
ameweka jiwe la msingi katika miradi miwili mikubwa ambao ni mradi wa
maji kutoka ziwa Victoria kwenda miji ya Tabora, Igunga na Nzega na
mradi wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora na amefungua barabara
mbili za Tabora.
Soma taarifa kamili:


Na Emmy Mwaipopo