Video Information
SAID JUMA MANOTI Ndo jina ambalo linagfahamika kwenye vitambulisho vyake lakini kwenye kutafutia ugali tunamjua kama PRODUCER NOTI.Alizaliwa miaka 27 iliyopita alizaliwa hukooo TABORA.
Huyu ni producer wa muziki ambaye kafanya kazi sehemu nyingi sana na mikoa mingi kwa sasa yupo kikazi mkoani kilimanjaro moshi anaendeleza harakati zake za mziki.
MIKOA ALIYO FANYA KAZI DODOMA, SINGIDA,MWANZA,KIGOMA,MUSOMA,MANYARA,ARUSHA,MOROGORO,DAR ES SALAAM NA SASA MOSHI.
Kama ulikuwa hujui huyu ndiyo producer aliyetengeza wimbo wa mamilo wa JAMBO SQUAD kutoka jijini Arusha.
Ni baba wa mtoto mmoja anayeitwa Tariq anayeishi huko POSHO CITY DODOMA.
Licha ya kuwa producer pia anauwezo mkubwa wa kuimba pamoja na kuandika mashairi pia ni muigizaji.
Changamoto alizokutana nazo kubwa ambayo hataisahau ni kuvuniwa studio yake binafsi na watu wasiojulikana huko DODOMA Pia kuibiwa kazi kama vile unanichora ya ben POL
Amewataka maproducer wanaochipukia wasikate tamaa wafanye kazi kwa weledi.
STUDIO ANAYOFANYA KAZI KWA SASA HIGHLEVEL STUDIO ILIYOPO MOSHI MJINI BOMA MBUZI.