Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

FAHAMU MAMBO 3 YA KUFANYA ASUBUHI, ILI KUFANIKIWA

Views:
Video Information

Image result for MORNING IMAGE


mambo ambayo ni muhimu sana kufanya mara tu uamka asubuhi, kuna kanuni mbali mbali kimsingi fanya yafuatayo ni mambo ya msingi.kuyafanya asubuhi.


1. FANYA SALA YA SHUKRANI

mara tu uamkapo asubuhi hakikisha unafanya sala, sala ya shukrani ni muhimu sana kwasababu, hakuna kitu cha msingi unachoweza kufanya katika maisha yako kama kushukuru kwa nafasi uliyo pewa kuiona siku mpya. shukuru kwa kila nafasi unayoipata katika maisha yako. shukrani ni kitu kikubwa sana ambacho unaweza kukifanya mara tu uamkapo asubuhi.


2.SOMA MALENGO YAKO..

Soma malengo yako mara kwa mara, jenga utamaduni wa kusoma mara kwa mara malengo yako ili kuweza kujikumbusha na kujua unatakiwa kufanyanini. kuna faida kubwa katika akili yako kwa kufanikisha yale unayo yataka. kumbuka kusoma mara kwa mara malengo yako.


3. FANYA MAZOEZI YA MWILI

ni vema na busara ukajali afya yako kwa kufanya mzoezi, mazoezi yanafaida nyingi sana kwenye maisha ya mwanadamu, mazoezi yanajenga uimara katika akili yako na kukuongezea uwezo wa kufikiri lakini siyo hivyo tu, yanakupa uwezo wa kuvumilia kufanya kazi kwa muda mrefu hasa ukizingatia kwa nyakati za sasa  ambapo unahitajika kufanya kazi masaa mengi zaidi.


Image result for MORNING IMAGE


Similar Videos