Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

DX wa Noizmekah afunga ndoa

Views:
Video Information


Prodyuza wa muziki Bongo, Henry Minja a.k.a Defxtro au DX ambaye anafanya kazi zake Jijini Arusha katika studio za Noizmekah ameamua kuachana na maisha ya ukapera na kuingia katika maisha ya ndoa .



Defxtro ataingia katika orodha ya watu maarufu waliofunga ndoa mwaka huu ambao ni mpiga picha maarufu Mx Carter na muimbaji wa nyimbo za Injili Madam Flora aliyeolewa mara ya pili baada ya kuachana na mumewe Emannuel Mbasha na sasa anaitwa Mrs Daudi Kusekwa.

Picha za watu maarufu waliona mpaka sasa kwa mwaka 2017


Mx Carter na mkewe


Flora na mume wake
Similar Videos