Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

Mama wa Notourious B.I.G akerwa na Kardashian

Views:
Video Information





Mama mzazi wa msanii wa Hip Hop Notorious B.I.G., Voletta Wallace amekereka na kitendo cha familia ya Kardashian ( Kendall na Kylie Jenner) kutengeneza T-shirt bila kumjulisha.



T-Shrits hizo ambazo zina sura ya Notorious B.I.G. na Tupac Shakur zinazouzwa kwa kaisi cha dola 125, kwa moja zimemtia hasira mama huyo kwa kitendo cha mabinti hao kutumia sura za watu hao hasa mwanae ambaye alifariki miaka kadhaa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.



Kupitia mtandao wa Instagram mama yake Notouriou aliamua kutoa duku duku lake kwa kuandika “I am not sure who told @kyliejenner and @kendalljenner that they had the right to do this,” she wrote. “The disrespect of these girls to not even reach out to me or anyone connected to the estate baffles me. I have no idea why they feel they can exploit the deaths of 2pac and my Son Christopher to sell a t-shirt. This is disrespectful, disgusting, and exploitation at its worst!!!,” ameandika mama huyo.

Nao mashabiki hawakubaki nyuma walizidi kuchochea warembo hao washitakiwe kwa kitendo hicho.
Similar Videos