Msanii anayefanya powa na ngoma yake ya Sielewi akiwa na Cylus Samsoni Classic Shatuu amesema mwaka Jana ulikuwa mwaka wake wa mafanikio.
Samson Akiongea na Deo Kessy The heavyweight Presenter kwenye fleva No Limit kwa njia ya simu amesema mwaka Jana alitoa hit song akapata show nyingi pia .
Kuhusu idea ya Sielewi alikuwa nayo mda mrefu akaamua kutumia Chorus ya Chemical na alipata go aheard kutoka kwa Chemical.
Akizungumzia kuhusu kundi la Jesus Soldiers Classic amesema yeye siyo member Bali ni MTU wa karibu na member wa kundi hilo kwa sasa yeye in solo artist.
Amesema mwaka 2017 atapiga hatua kubwa zaidi ya mwaka Jana nakudai kuwa kuna collaboration zinakuja na wasanii wakubwa "kuna colabo zinakuja kati ya Mo Music,T.I.D mnyama, na Baracka da prince"amesema Samson
Na Kolabo za ndani anafanya mazungumzo na Job Fire wamelody na kuna kazi iko jikoni na Lesafi wa Mavogi
Kuhusu kuwa na bifu na director cash amesema hana tatzo naye
Amehitimisha kwa kuwataka mashabiki wake waendelee kumsapoti kwa kiasi kikubwa yapo mazuri yanakuja.