Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

Wafahamu wasanii JobFire anaowazimia

Views:
Video Information

Msanii Wa Bongo Flavor @jobfire_wa_melody Afunguka Na Kuwataja Wasanii Ambao Ni Role Model Wake Ambao Anawakubali Kutoka Moyoni Na Akaongeza Kwa Kusema Kwamba Kuna Vitu Wasanii Hao Wanavyo Ambavyo Ni Vikubwa Sana Katika Muziki Pendwa Wa Bongo Flaver Na Amekuwa Akiwafatilia Siku Hadi Siku Kupata Update Zao Na Kuhakikisha Anapata Kuskia Kila Kazi Zao Pindi Tu Zinapokuwa Released Kwani Amekuwa Akijifunza Mengi Sana Kupitia Wasanii Hawa Role Modle Wake Ambao Ni @beka1flavour Na @barnabaclassic 🙌 Msanii Huyo @jobfire_wa_melody Amesema Licha Ya Kwamba Bado Hajafanikiwa Kufanya Kazi Na Wasanii Hao Ila Anaamini Kwamba Kila Jambo Lina Wakati Wake Na Utafikia Muda Atatimiza Adhma Yake Ya Kufanya Kazi Na Wasanii Hao. Pia Alinogesha Kwa Kutaja Baadhi Ya Mashairi Ya Wasanii Hao Ambayo Yanamkosha Sana Msanii Huyo @jobfire_wa_melody Ikiwemo Kipande Alichoimba @beka1flavour Zamani Babu Kanifunza Kupenda Ishara Kujidai,, Huna Sababu Ya Kununa Wakati Ngoma In'gaing'ai🙌🙌🙌 Na Kipande Cha @barnabaclassic Kinachosema Mpenzi Wako Eti Unamhudumia Eeeeh,, Wengine Wanakuja Kumchukua Eboooo.... Hamna Love Siku Hizi Wananunua Eeee... Nawakubali Sana Hawa Watu Ni Hatariiiii Mafundi...... Alimalizia Kwa Kusema Maneno Hayo Msanii @jobfire_wa_melody
Ukisikiliza Kazi Za Msanii @jobfire_wa_melody Utafahamu Nini Amemaanisha Katika Hili.  Maana Katika Kazi Zake Utagundua Sauti Na Mitindo Yake Ya Uandishi Na Uimbaji Huwa Vinashabihiana Sana Na Kazi Za Wasanii Hawa @beka1flavour Na @barnabaclassic Keep On Moving @jobfire_wa_melody

Similar Videos