Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

Kala Jeremiah asimulia jinsi wimbo wake mpya ‘Wana Ndoto’ ulivyomtoa jasho (Video)

Views:
Video Information
Haikuwa rahisi kwa Kala Jeremiah kuikamilisha ngoma yake mpya, Wana Ndoto. Ni kwasababu wimbo huo aliurekodi mwanzo mwaka 2013 lakini producer aliyeutayarisha alishindwa kumkadhi.
Ndoto
Baada ya kumpiga chenga kwa muda mrefu, rapper huyo alikata tamaa hadi mwaka 2016 alipopata mtoto, Alama. Amesema mtoto wake huyo alimpa tena hamu ya kuufanya tena wimbo huo lakini tatizo ni kuwa daftari lililokuwa na mashairi hakujua lilipo.
Alilitafuta kwa zaidi kwa wiki mbili bila mafanikio lakini alikuja kulipata wakati akitafuta kitu kingine kabisa. Hata hivyo kazi nyingine ikaja kumpata Mtoto Miriam Chirwa aliyeimba chorus ya wimbo huu kwasababu alikuwa shule nje ya Dar.
Ilimbidi amsubiri hadi afunge shule ndipo wakaingia studio kurekodi. Msikilize Kala akisimulia zaidi kwenye interview hii.
Similar Videos