Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

Video ya Kiwanda cha rangi kilivyoteketea kwa moto Dar usiku wakuamkia leo.

Views:
Video Information
March 4 2016 moja ya tukio lililokusanya umati wa watu ni hii ya ghara la kuhifadhia rangi kwenye kiwanda cha Sadoline kilichopo maeneo ya tazara  Dar es salaam,   baada ya kuungua  moto ambao bado haujafahamika mpaka sasa nini chanzo chake. Kwa mujibu wa mkaguzi msaidizi wa jeshi la zima moto wilaya ya Kinondoni adam hamisi ngao amesema moto huo ulianza  kuwaka muda wa saa moja za usiku .
Hadi kamera ya Ayo Tv inaondoka eneo la tukio, taarifa zilionyesha hakuna mtu aliyepoteza maisha katika tukio hilo la ajali..
Similar Videos