Video Information

Kutana na msanii wa bongofleva Madee, ametangaza kwamba sasa hivi hataki tena kuimba nyimbo za shida tena ni midundo ya kuparty tu, single yake mpya inaitwa ‘migulu pande‘ na inatarajiwa kuachiwa anytime kuanzia sasa,
bofya hapa http://millardayo.com/madee04/