Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

Belle 9 akubali ngoma na video ya 'Shauri Zao' imembadilisha ki maisha na muziki

Views:
Video Information
Nyota wa muziki Belle 9, baada ya kupiga hatua kubwa kimuziki ikiwepo video ya Shauri Zao kupata 'Air Play' katika vituo vya kimataifa, amesema muonekano na hadhi yake imebadilika kabisa kwenda hatua inayofuata kama msanii wa kimataifa.
Belle 9 amesema kuwa, baadhi ya mafanikio ambayo ameanza kushuhudia kwa haraka haraka ni kuchukuliwa katika uzito wake, simu za deals anazopokea, aina ya mahojiano ambayo anafanya sasa, kazi kubwa mbele yake ikiwa ni kushikilia na kuendeleza nafasi hiyo, akiwa sasa anasonga kama kampuni - Vitamin Music.
CHANZO:TUBONGE TZ.
Similar Videos