Video Information

Baada ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kuvunja bunge la mawaziri katika awamu yake ,.alisema atatia nguvu nyingi katika music.
msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka moshi akiwakilisha kundi la wamelody linaloundwa na watu wawili jobfire na single sally,,Jobfire ameamua kuvunja ukimya na kuamua kuja na wimbo wake baada ya kuutoa kapuni,,,ama kabatini,,
Akizungumza na Kibo fm Redio katika kipindi cha Fleva no limit Na Deogratius Kessy amesema track hiyo itaitwa NIMEKOLEA aliyo mshirikishaAbramy utatoka hivi karibuni akiwa na na slogan ya SIAFU WAMERUDI SHIMONI..