Video Information
1.nisha

2. Riyama Ally
3. Odama

wakati mastaa wakike wakiongoza kwa tabia za skendo na zisizo na maadili lakini hawa wanaongoza kwa kutengeneza pesa kupitia filamu bila skendo na kujituma zaidi kwenye kazi ya filamu na kila ukiwatafuta utawakuta kwenye mipango ya kufikiria zaidi filamu zao zitakuwaje yaani wapo bize sana na kazi zao.