pICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA One campaign – 'Cocoa na Chocolate' ndani wakiwemo A.Y na Diamond Views: Video Information Ile video waliyorekodi wasanii 19 kutoka bara la Africa kwenye kampeni ya kuhamasisha kilimo imetoka. Angalia jinsi wasanii wengi kutoka nchi za Africa walivyojumuika pamoja kutengeneza video hii wakiwemo A.Y na Diamond.