Video Information

Mwenyekiti wa Kamati namba kumi(10) ya Bunge Maalum la Katiba Paul Kimiti (katikati) akiongoza mjadala wa Kamati hiyo leo mjini Dodoma wakati wanapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda (kulia) akitoa mchango wake mjini Dodoma wakati wa kikao cha Kamati namba mbili (2) kilichokuwa kinapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya. (J.G)

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Salehe Nassoro Juma akitoa mchango wake mjini Dodoma kuhusu muundo wa muungano wakati wa kikao cha Kamati namba nne (4) kilichokuwa kinapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Salehe Nassoro Juma akitoa mchango wake mjini Dodoma kuhusu muundo wa muungano wakati wa kikao cha Kamati namba nne (4) kilichokuwa kinapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya