KINANA AWAKOSHA WANANCHI WAKATI WA ZIARA YAKE WILAYAI KALAMBO,RUKWA Views: Video Information Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Kata ya Kasanga wilayani Kalambo, wakati wa ziara yake mkoani Rukwa ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya mendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.