Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

HIKI NDICHO KITAFANYIKA MAISHA CLUB...

Views:
Video Information
Club-Maisha-4_8830e.jpg
New Maisha Club ndiyo Club pekee Tanzania iliyofanikiwa kuwa na matawi mengi mikoani ukitoa Dar es salaam ambayo ndiko ilikoanza,kwa sasa New Maisha Club ipo Morogoro,Mtwara,Dodoma na Mbeya ambapo kuna baaadhi ya party hufanyika siku moja kupitia club zote hizi.
IMG-20140403-WA00151_f3407.jpg
New Maisha Club 87.8 Mbeya Jumapili ya April 06 Kutakua na usiku wa vyuo ambao utasindikizwa na Roma Mkatoliki huko Roma ataenda pia kuzindua wimbo wake mpya wa K.K.K
shilole_074cb.jpg
New Maisha Club 88.5 Morogoro Jumapili April 06 kutakua na Shilole utakua ni uzinduzi wa video ya Chuna Buzi ambapo kwa Shilole atasindikizwa na Nuh Mziwanda na Darasa.
mirow_4eb77.jpg
New Maisha Club 88.4 Mtwara April 06 kutakuwa na Mirror kwenye Mirro’s Night upande wake atakua na Jordan da Prince.CHANZO MAJJID
Similar Videos