Video Information
Akizungumza na Global Publisher, Wolper amesema
anaumia kwakuwa yeye ni mchamungu.
“Roho inaniuma sana kuhusiana na hizo taarifa sijui
niongee nini ili jamii inielewe kile
nitachokizungumza, ni ngumu sana kufanya hicho
kitu ambacho najua hakimpendezi Mungu kivyovyote
vile,” alisema.