UncategoriesUNAWEZA KUPIGA SIMU KWA KUTUMIA WHATSAPP
UNAWEZA KUPIGA SIMU KWA KUTUMIA WHATSAPP
Views:
Video Information
Mambo mengine ni rahisi kunena
kuliko kuandika.Baada ya Facebook
kununua mtandao wa kutuma
ujumbe mfupi, Whatsapp kwa
bilioni 19 dola za kimarekani, sasa
huduma hiyo itaanzisha huduma za
kupiga simu baadaye mwaka huu