Video Information
WAUMINI wa madhehebu
mbalimbali ya dini wametakiwa
kuliombea Bunge maalumu la katiba
ili Mungu aingilie kati na kuondoa
uchafu uliopo ndani ya Bunge.
Mbunge wa Jimbo la Busanda Mkoa
wa Geita, Lolena Bukwimba alitoa
kauli hyo mwishoni mwa wiki wakati
akizungumza.
Wanawake kutoka madhehebu
mbalimbali ya dini kwenye
maadhimisho ya siku ya maombi ya
Wanawake Duniani iliyofanyika
Kanisa la Anglikana Usharika wa
Mlimwa mjini hapa.