Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara
Mzee Philip Mangula akisalimiana
na Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini
Mama Delfina Mtavilalu mara baada
ya kuwasili katika ofisi za CCM mkoa
wa Iringa ambapo alipokelewa na
baadhi ya viongozi wa mkoa huo na
kuelekea moja kwa moja ofisini
ambapo alifanya mazungumzo
mafupi na viongozi hao na baadae
akakutana na waandishi wa habari,
Akizungumza na waandishi wa
habari amesema yeye hakkwenda
iringa kupiga kampeni kwakuwa
kampeni zinapigwa na kamati za
siasa pamoja na viongozi mbalimbali
kutokana na jinzi walivyopangiwa
kazi yake yeye ni kuratibu kampeni
hizo na kupokea taarifa za kampeni
hizo na kuona kama kamati za siasa
za kata zinafanya kazi, Chama cha
Mapinduzi kiko katika kampeni jimbo
la Kalenga pamoja na vyama vingine
kikiwa kimemsimamisha Bw. Godfrey
Mgimwa ambapo uchaguzi wa jimbo
hilo unatarajiwa kufanyika Machi 16
mwaka huu
MWENYEKITI WA CCM BARA ATUA IRINGA
Views:
Video Information