Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

KIMATAIFA KIRAFIKI: STURRIDGE AIPA USHINDI ENGLAND!!

Views:
Video Information
WAKICHEZA kwao Wembley, Jijini London, England imeifunga Denmark Bao 1-0 katika Mechi yaENGLAND-DENMARK-BEST Kirafiki ya kujiandaa kwa Fainali za Kombe la Dunia zitakazochezwa huko Brazil kuanzia Juni 12.

TAKWIMU-KABLA MECHI HII:
-England wameshinda Mechi 5 kati ya 9 walizocheza mwisho na Denmark lakini wamefungwa 2 kati ya 3 walizocheza mwisho.
-England na Denmark zimecheza Wembley mara 5 na Mechi zote kwisha 1-0 huku England wakishinda 4.
-Hodgson ameiongoza England Mechi 24 na Kushinda 13, Sare 8, Kufungwa 3

Bao la England lilifungwa na Straika wa Liverpool, Daniel Sturridge, baada ya kazi njema ya Mchezaji wa Southampton Adam Lallana alieingizwa Kipindi cha Pili.
ENGLAND-DENMARK1VIKOSI:
England: Hart; Johnson, Smalling, Cahill, Cole; Gerrard, Henderson, Wilshere; Sturridge, Rooney, Sterling
Akiba: Shaw, Foster, Baines, Caulker, Carrick, Milner, Lampard, Barkley, Cleverley, Lallana, Ruddy, Forster, Oxlade-Chamberlain, Townsend, Lambert, Defoe, Welbeck, Rodriguez.
Denmark: Schmeichel, Sloth, Agger, Kjaer, Peter Ankersen, Kvist Jorgensen, Jacobsen, Poulsen, Krohn-Delhi, Larsen, Bendtner
Akiba: Andersen, Lossl, Kahlenberg, Bjelland, Kusk, Olsen, Zimling, Rasmussen, Delaney, Jacob Ankersen, Juelsgaard, Makienok Christoffersen.
Refa: Kevin Blom (Holland)
MECHI za KIMATAIFA KIRAFIKI
RATIBA/MATOKEO:
[Muda ukitajwa ni Bongo Taimu]
Jumatano Machi 5
Malawi 1 Zimbabwe 4
Mozambique 1 Angola 1
Mauritania 1 Niger 1
Zambia 2 Uganda 1
Congo 0 Libya 0
Japan 4 New Zealand 2
India 2 Bangladesh 2
Burundi 1 Rwanda 1
Russia 2 Armenia 0
Georgia 2 Liechtenstein 0
Iran 1 Guinea 2
Lithuania 1 Kazakstan 1
Azerbaijan 1 Philippines 0
Bulgaria 2 Belarus 1
Burkina Faso 1 Comoro 1
Hungary 1 Finland 2
Greece 0 South Korea 2
Albania 2 Malta 0
Algeria 2 Slovenia 0
South Africa 0 Brazil 5
Montenegro 1 Ghana 0
Israel 1 Slovakia 3
Bosnia 0 Egypt 2
Czech Republic 2 Norway 2
Namibia 1 Tanzania 1
Senegal 1 Mali 1
Cyprus 0 Northern Ireland 0
Macedonia 2 Latvia 1
Andorra 0 Moldova 3
Colombia 1 Tunisia 1
Luxembourg 0 Cape Verde 0
Turkey 2 Sweden 1
Morocco 1 Gabon 1
Romania 0 Argentina 0
Ukraine 2 United States 0
Gibraltar 0 Estonia 2
Austria 1 Uruguay 1
Switzerland 2 Croatia 2
Germany 1 Chile 0
Belgium 2 Ivory Coast 1
France 2 Netherlands 0
England 1 Denmark 0
Poland 0 Scotland 1
22:45 Wales Vs Iceland
22:45 Ireland Vs Serbia
23:59 Spain Vs Italy
23:00 Australia Vs Ecuador
23:45 Portugal Vs Cameroon
23:59 Saint Lucia Vs Jamaica
Alhamisi Machi 6
1:30   Mexico Vs Nigeria
2:00   Costa Rica Vs Paraguay
Similar Videos