Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

JOKATE MWEGELO AMZUNGUMZIA LUPITA NYONG'O NA ALIYOJIFUNZA TOKA KWAKE "SHE IS DOING AND NOT AFRAID OF COLOR"

Views:
Video Information

Lupita Nyong’o amekuwa Mkenya wa kwanza kuwahi
kushinda tuzo ya Oscar baada ya leo kunyakua tuzo
ya muigizaji bora msaidizi wa kike. Ushindi huo
umepokelewa kwa shangwe na sio Wakenya peke
yake, bali Afrika nzima. Jokate Mwegelo amesema
Lupita Nyong’o ni muigizaji wa aina yake anayetoa
funzo kwa wasichana wengi wa Afrika kutokataa
tamaa, kujituma na kujivunia ngozi yao.
Akiongea na Bongo5, Jokate alisema uwezo wa Lupita
Nyong’o kwenye 12 Years A Slave ni wa kutukuka na
ndio maana hata waigizaji wengi wakubwa
wamemkubali. “Alishine kwenye movie hiyo, yaani her
role, her character shone among the rest, without a
doubt her acting was perfection,” amesema Jokate.
Lupita akipokea tuzo ya Oscar
“There is one thing wananchi kukupenda, and there
is another thing watu ambao wanajua the craft,
wanaojua ugumu wa ile kazi, ubora, good actor/
actress, kukuappreciate. So far she has that kind of
support like her peers appreciate her. Napenda
anavyotumia ngozi yake. Her skin is very nice. At the
same time she is very daring. Nimeona vitu amevaa
kama Victoria Beckham, Victoria Bechkam pia
akampost kwamba she was wearing one of her clothes
and she is not afraid of color and I really love that
about her.”
Jokate amesema alichojifunza kutoka kwa Lupita ni
weledi (professionalism), mafunzo na kutokataa
tamaa.
“Lupita amepitia training mbalimbali, it makes you
understand your craft,” amesema Jokate.”Na vilevile
kutokata tamaa. She is 30 years old, her first role,
her first Oscars nomination wakati kuna watu wengi
wanafanya movie nyingi lakini hawafikii hiyo level
aliyofikia yeye. Hakuna kukata tamaa, always think
positive, penda kujifunza.”

Similar Videos