Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

JK NA LOWASSA WAUDHURIA KATIKA MSIBA WA BALOZI KAZAURA

Views:
Video Information
jk_1_a263b.jpg
Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete, pamoja na waziri mkuu mstaafu ambaye ni mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa na viongozi wengine wakiwa katika mazishi ya balozi Fulgence Kazaura huko Misenyi Kagera.
lowasa_dcde0.png
Waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa akisalimiana na mkuu wa zamani wa Chuo kikuu cha dar es salaam balozi Nicolaus Kuhanga huku Makamu mkuu wa Chuo hicho hivi sasa Profesa Rwekaza Mukandala(katikati) akisikiliza,wakati wa mazishi ya mkuu wa Chuo hicho balozi Fulgence Kazaura.
Similar Videos