Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

CINDY RULZ ADAI TUZO ZA KMAT ZINAWABAGUA RAPPERS WA KIKE

Views:
Video Information

Mfano huwezi ukaniweka category moja na akina
Recho au Linah sijui Dayna itakuwa tofauti, ndio
maana ukiona tuzo za watu wa nje huwezi kuona
Nick Minaj anapangwa pamoja na watu kama akina
Rihanna maybe kama kwenye Videos of the year,”
Cindy alikiambia kipindi cha Bomba Base Show cha
Bomba FM Radio, Mbeya.
“Lakini kungekuwepo na kipengele cha Female
Rappers kipengele ambacho female rappers
tunashindanishwa sisi wenyewe kama Chiku Keto,
Cindy Rulz, Witness au Stosh, naona tuzo zetu hazipo
katika kusapoti female rappers. Sijawahi kuona yaani
Female Rappers wasanii wa zamani kama akina Zay
B, Sister P na Rah P wakitunzwa na hizi tuzo
kutokana na kukosa hicho kipengele.”
Rapper huyo aliongeza kuwa utaratibu wa kuachia
ngoma zake mpya ni tofauti na wasanii wengine
kutokana na wengi wao ku-target kipindi cha utoaji
wa tuzo.
“Well to be honest sijawahi kufanya kazi zangu za
muziki nikaweka nguvu sana kwamba nafanya hii
ngoma ili itue kwenye Kili Music Awards hapana,
nakuwa natengeneza muziki mzuri kwaajili ya
kuwafurahisha mashabiki, ukiwa unatengeneza muziki
kwaajili ya tuzo aaaah, hiyo dizaini inakuwa kazi sana
kwa sababu incase imetokea bahati mbaya hujawa
nominated unaweza ukadata, mimi natengeneza
muziki mzuri na tuzo iwe tu kama bonus, yeah kama
jina lilivyo nitunzwe tu kwa sababu nafanya kitu
kizuri,” alisema.
“Nipate tuzo nisipate tuzo bado nitaendelea ku-push
muziki wangu sehemu ambayo kwangu ningependa
uweze kufika, kama ikitokea bahati nzuri nimekuwa
nominated na nikashinda yote heri, lakini focus
yangu haipo hapo focus yangu nikutengeneza muziki
mzuri hits song after hits song, good music watu
waupende tuendelee kusonga na maisha kama vitu
vingine.”

Similar Videos