Video Information

Hit Maker wa wimbo wa bora baba angekuwa mbunge Young Kacha amesema anahitaji suport katikan ununuzi wa T-shirt zilizoandikwa bora baba angekuwa mmbunge.Akizungumza na sayari blog aliseme kuwa lengo lake ni kupata kipato cha kuendeleza kazi yake ya muziki pia alisema zitauzwa kwa sh.elfu ishirini tu.Na kwa wale walio mbali wanaohitaji t-shirt hizo atawapelekea.Tunaopenda muziki wa bongo yatupasa kuwapa suport katika muziki.