Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

Mazoezi ya Coastal Union Umangani ni noma, Haruna Moshi, Juma Nyoso, Razaki Khalfani wengine ndani ya GYM si mchezo ndani ya uwanja wa soka Sultan Qaboos leo.

Views:
Video Information
Haruna Moshi 'Boban' akiwa GYM
Mazoezi ya viungo
Juma Nyoso aliyekaa akiwa GYM
Razakh Khalfani
Baada ya ushindi wa jana wa mabao 2-0 dhidi ya Oman Club ya Muscat Oman, hii leo kikosi kizima cha Wagosi wa Kaya Coastal Union ya Tanga kimeendelea na mazoezi makali kwa ajili ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara.
Hii leo kikosi hicho mbali ya kufanya mazoezi ya uwanjani na darasani kiliendelea na mazoezi ya kujenga mwili kwa kutumia vifaa vya kisasa vilivyoko katika uwanja wa soka Sultan Qaboos.
 Kesho kikosi hicho kinatarajiwa kushuka tena dimbani kucheza mchezo mwingine dhidi ya wenyeji wao timu ya Fanja.www.sayariblog.blospot.com
Similar Videos