Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

KINGWENDU ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE 2015

Views:
Video Information

WIMBI la wasanii wa fani mbalimbali kukimbilia katika siasa limezidi kushika kasi, baada ya msanii wa maigizo na vichekesho, Rashid Mwinshehe maarufu kama Kingwendu, kufunguka na kusema kuwa yupo katika mipango ya kuwania nafasi ya ubunge wakati wa Uchaguzi Mkuu wa nchi utakaofanyika 2015.
"NI JIMBO GANI NA CHAMA GANI NDANI YA GAZETI LA MASKANI BONGO UTAPATA HABARI HII"
Similar Videos